Wayne Rooney ameshinda tuzo ya bao bora la mwezi la Premier League kutokana na bao aliloifungia Everton dhidi ya West Ham.
Bao hilo linakuwa bora zaidi kwa mwezi Novemba na linakuwa ni mwanzo kurejea kwa Rooney ambaye alionekana kama "amepotea njia".
hongera zake Rooney
ReplyDelete