December 6, 2017




Timu ya SportPesa kwa mara nyingine ilifika Nyakato mkoani Mwanza kukabidhi TVS KING DELUXE kwa mshindi wa droo ya 22 ya SHINDA NA SPORTPESA iliyofanyika tarehe 16th Novemba ambapo ndugu Makoye Cosmas (30) anayejishughulisha na kazi ya ufundi (fundi muashi) alijishindia zawadi hiyo. 

Mshindi alikabidhiwa bajaji hiyo ikiwa mpya kabisa. Mshindi aliwasihi vijana wenzake waweke ubashiri na SportPesa ili nao waweze kubahatika kama yeye. Akipokea fungua za bajaji hiyo kwa furaha, ndugu Makoye Cosmas amesema kuwa ataitumia bajaji hiyo kwa shughuli za biashara ili kumuongezea kipato. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic