December 24, 2017


Mashabiki wa Leicester City wakiwa uwanjani wakati timu yao ikiivaa Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu England iliyoisha kwa sare ya mabao 2-2.

Mashabiki hao wakiwa wamevaa kofia maalum kwa ajili ya kuonyesha kuwa katika msimu wa sikukuu ya Krismasi. Mashabiki hao wamevaa kofia hizo ambazo huwa maarufu kwa rangi nyekundu na nyeupe lakini wao, wametupia katika rangi za bluu na nyeupe ambazo ndiyo rangi za timu yao.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic