January 27, 2018


Kampuni ya Adidas wamemkabidhi Lionel Messi kiatu chake kipya maalum kwa ajili ya matumizi yake.

Kiatu hicho kipya alikabidhiwa baada ya kifaa maalum maarufu kama drone, kuvibeba hadi alipokuwa na kumkabidhi.

Katika hafla hiyo iliyokuwa maalum kwa ajili ya kumkabidhi viatu hivyo vinavyoaminika ni maarufu zaidi kwa kipindi hiki, muda wote Messi alionekana ni mwenye tabasamu.

Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Arhentina, ndiye mchezaji nyota zaidi wa Barcelona na tegemeo la kikosi hicho.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic