January 27, 2018

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ambaye ni mwanasoka bora wa dunia kwa sasa, amenaswa na kamera akimpapasa makalio mchezaji mwenzake, Marcelona.

Marcelona raia wa Brazil ambaye ni rafiki wa Ronaldo, alikuwa akifurahia bao alilolifunga kabla ya Ronaldo kumpapasa mtindo kama ule aliowahi kuufanya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso.

Katika mechi hiyo, Madrid ilishinda kwa mabao 4-1 dhidi ya Valencia, Ronaldo akifunga mawili, Marcelo moja kama ilivyokuwa kwa Toni Kroos.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic