January 3, 2018


Kocha Mkuu wa muda wa Simba, Irambona Masoud Djuma amesema watakuwa na mwanzo mgumu lakini kwa muda mfupi.

Djuma raia wa Burundi amesema ikiwa ni siku moja tu baada ya Simba kwa michuano ya Mapinduzi kwa sare ya bao 1-1 katika michuano inayoendelea mjini Zanzibar.


Kocha huyo amesema kikosi cha kilicheza vizuri lakini kuna mambo wanaendelea kujifunza.

"Tuna vitu tunajifunza na tunaamini mambo yatakuwa vizuri baada ya muda. Tunaweza kuteseka mwanzoni lakini si wakati wote," alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic