January 3, 2018



Kiungo wa zamani wa Chelsea,Michael Essien ametengenezewa sanamu maalum kwa ajili yake huko kwao Ghana.

Lakini wataalamu wa masuala ya sanamu maalum, wanaeleza sanamu hilo ni katika ya masanamu yenye mvuto dunk yaliyowahi kutengenezwa kwa ajili ya mastaa mbalimbali.


Essien aliwahi kuwa shujaa wa Chelsea baada ya kuiwezesha kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England mara mbili baada ya kutumikia timu hiyo katika mechi 256 kati ya mwaka 2005 na 2014.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic