January 25, 2018




Inaonekana kuwa Borussia Dortmund hawaridhiki kuhusiana na ofa wanayotoa Arsenal ili kumnasa mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang.

Lakini kuna hofu imeibuka kwamba mazungumzo hayo yanaweza kuishia njiani kwa kuwa Wajerumani sasa wanamtaka Olivier Giroud pamoja na kitita cha pauni milioni 56 ili kumuachia Aubameyang.

Lakini Arsenal wanaona ni fedha nyingi na wangependa kumalizana na Giroud aendelee kubaki Emirates.


Arsenal nao wanaonekana wangependa biashara iishie kwenye fedha na mchezaji bila la kumjumuisha Giroud.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic