January 26, 2018


Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kuwavaa Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, kesho Jumapili.

Mabingwa hao watetezi watakuwa wageni wa Azam FC wanaokimbizana na Simba kileleni.

Angalia picha.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic