March 17, 2018

7 COMMENTS:

 1. Safi Sana ndiyo maana hii ni blog ninayoitembelea kila siku. Kila la kheri simba hapa naenda tafuta tu bando

  ReplyDelete
 2. Kwa kweli ubarikiwe sana, maana nilikuwa na wasiwasi wa kukosa uhondo huu.

  ReplyDelete
 3. big up sana kaka... Nimeipenda hii.

  ReplyDelete
 4. Saleh Jembe blog yako iko juu kaka yangu kila siku lazima niingie kucheck kwa sasa naenjoy mpambambano wa simba nchini Misri nikiwa hapa Canada big up brother Jembe

  ReplyDelete
 5. Napenda kutoa shukrani zangu kwa blog ya saleh jembe kwa link hii ambayo ilinifanya niangalie mpira mwanzo mwisho baada ya kuhaha mahali pakuangalia mechi hii.. uko huu sana.

  ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV