Saleh Jembe blog yako iko juu kaka yangu kila siku lazima niingie kucheck kwa sasa naenjoy mpambambano wa simba nchini Misri nikiwa hapa Canada big up brother Jembe
Napenda kutoa shukrani zangu kwa blog ya saleh jembe kwa link hii ambayo ilinifanya niangalie mpira mwanzo mwisho baada ya kuhaha mahali pakuangalia mechi hii.. uko huu sana.
Safi Sana ndiyo maana hii ni blog ninayoitembelea kila siku. Kila la kheri simba hapa naenda tafuta tu bando
ReplyDeleteKwa kweli ubarikiwe sana, maana nilikuwa na wasiwasi wa kukosa uhondo huu.
ReplyDeleteNimeipendaa
ReplyDeletebig up sana kaka... Nimeipenda hii.
ReplyDeleteSaleh Jembe blog yako iko juu kaka yangu kila siku lazima niingie kucheck kwa sasa naenjoy mpambambano wa simba nchini Misri nikiwa hapa Canada big up brother Jembe
ReplyDeleteSafi sana saleh jembe
ReplyDeleteNapenda kutoa shukrani zangu kwa blog ya saleh jembe kwa link hii ambayo ilinifanya niangalie mpira mwanzo mwisho baada ya kuhaha mahali pakuangalia mechi hii.. uko huu sana.
ReplyDelete