Baada ya kuinyoa Liverpool, kikosi cha Manchester United chini ya Kocha Jose Mourinho kimeendelea na mazoezi yake.
Kikosi hicho kinaonekana kuendelea kupata morali baada ya ushindi mfululizo na kurejesha imani kwa mashabiki wake.
United sasa wanajiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Seville ya Hispania.
MECHI ZINAZOFUATA:
JUMANNE
Sevilla (H) Champions League
JUMAMOSI
Brighton (H) FA Cup
MACHI 31
Swansea City (H)
APRILI 7
Manchester City (A)
APRILI 15
West Bromwich (H)
APRILI 21
Bournemouth (A)





















0 COMMENTS:
Post a Comment