Na George Mganga
Wambuwa amefungiwa kutokana na kupokea fedha zisizo halali kiasi cha Shilingi milioni 84, kugushi nyaraka za malipo, na kula njama kulipwa fedha na waliokua viongozi wa TFF Jamal Malinzi na Selestin Mwesigwa.
Saleh Jembe Blog baadaye itakuletea zaidi ufafanuzi zaidi kuhusiana na adhabu ya kifungo chake.








Kuna wakati huwa ninajiuliza ni lini tutaondokana na ubabaishaji wa kuendesha soka letu? Na ninafikiria kuachana kabisa na soka la Tz kwa uendeshaji wa kibabaishaji
ReplyDeleteIvi hiyo office ilikua na wambura pekeake.hakunamtu mwengine yeyote alie husika.nakama wapo wamechukuliwa hatua zipi?nakwanini nao wasitajwe.pili japo mimi sio mjuzi ninachojua wambula ana mkuu wake wakazi inamana huyo mkuu alikua hajaziona document.nakama aliziona alichukua hatua gani
ReplyDelete