March 15, 2018


Droo ya kupanga timu zitakazokutana kwenye hatua ya robo fainali katika Ligi ya mabingwa Barani Ulaya, inataraji kufanyika kesho Ijumaa.

Droo hiyo itahusisha timu nane pekee ambazo zimefuzu kuingia kwenye hatua hiyo, baada ya 16 bora kukamilika usiku wa jana.

Timu zilizoingia hatua hiyo ni: Real Madrid, FC. Barcelona, Liverpool, Juventus, Manchester City, Bayern Munich, AS Roma na Sevilla.

Katika michezo iliyofanyika usiku wa jana, Barcelona na Bayern Munich zimefuzu kuingia hatua ya nane bora pia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic