Kama uliangalia kwa kawaida ungeweza kuamini kuwa safari hii ni zamu ya Alexis Sanchez kufika mbali katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ungeweza kusema hivyo mara tu baada ya kujiunga na Man United kwa kuwa kwa misimu mitatu mfululizo akiwa na Arsenal mambo hayakuwa mazuri.
Lakini raia huyo wa Chile amekutana na hali inayofanana na ile ya Arsenal mara baada ya kutua Man United.
Man United imeng’olewa katika michuano hiyo kwa kufungwa na Sevilla ya Hispania na Sanchez anakuwa kati ya waliofungishwa virango.








0 COMMENTS:
Post a Comment