March 8, 2018


Na George Mganga

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga, ametaja majina 23 ya wachezaji walioitwa kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya kujiwinda na michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo.

Stars itacheza michezo hiyo ya kirafiki ambayo ni kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, ambapo Machi 22 watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Algeria na Machi 27 watakuwa na kibarua dhidi ya Congo hapa nchini.


KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA KOCHA SALUM MAYANGA



6 COMMENTS:

  1. Mkude yupo vizuri sana kwa sasa japo nakiri huwezi kuchukua wote...Kila la Heri Starz

    ReplyDelete
  2. Huyo ulimwengu wa nini? Mchezaji hata hajulikkani anachezea Timu gani kwa Sasa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. umenichekesha na Ulimwengu.....hawo ndio makocha wetu wa Bongo kaka...na akili zao za kukariri kama Aserne Wenger

      Delete
  3. midfield haipo sawa. kocha amewaona wapi ulimwengu na farid? mkude na aggre morris wangefaa. Algeria sio wa mchezo

    ReplyDelete
  4. Ushauri uliotolewa hapo ni mzuri. Thomas Ulimwengu bado hajawa vizuri. Kwanini mnawaacha wachezaji wanaoonekana hapa wakicheza vizuri tu? Mkude ni mmojawapo lakini wapo wengi tu, yupo Buswita, Kaseke, Tshabalala, nk

    ReplyDelete
  5. Kocha tuache upendeleo tuwe na timu bora kwa vigezo sio kwakuwa unamtaka huyu, hapana hii ni timu yetu ya taifa. Ulimwengu out, Farid out, weka wachezaji wanaoonekana machoni mwetu au kwenye luninga. Mlituletea kocha mtanzania wa uingereza hapa ndio kwanza tulimuona na aibu tuliipata. Wapo wachezaji wengi wazuri , Mkude, Muzamiru, Aggrey Morris, Buswita, yule kijana hatari wa AZAM (Abdallah ?), Tshabalala, hata Kaseke ni bora kuliko Ulimwengu au Farid kwa sasa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic