March 17, 2018


Kikosi cha Simba kitachopangwa Shiza Kichuya anaweza kukaa benchi ili kupata nafasi ya kuusoma mchezo.

Katika mazoezi ya jana Kocha Pierre Lechante anaonekana ameamua Kichuya aanzie benchi.

Kocha huyo Mfaransa, hakumuweka Kichuya upande wa wachezaji wanaoonekana wataanza.

Hata hivyo, baada ya muda mfupi, kikosi kinaweza kuwa tayari na kujulikana.

Kawaida makocha huwa na mipango tofauti inapofikia nyumbani na ugenini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic