March 17, 2018


Taarifa ikufikie kuwa Salehjembe.blogspot.com imekuwa blog namba moja ya michezo nchini Tanzania kwa kuwa na idadi kubwa ya wasomaji.

Kwa mujibu wa mtandao wa Alexa kutoka Washington Marekani, mtandao unaotoa takwimu za watembeleaji wa blog na website zote duniani, Saleh Jembe imeshika namba 100,390 duniani huku ikiwa ya 92 Tanzania.



Baada ya Saleh Jembe, mtandao mwingine unaotoa habari za michezo, shaffidauda.co.tz unashika namba mbili Tanzania ukiwa nafasi ya 138 na duniani ukishika namba 111,513.



Kwa mujibu wa Alexa, mtandao wa binzubeiry.co.tz upo nafasi ya tatu kwa kukamata namba 147 Tanzania na 116,765 duniani.



Mwanaspoti.co.tz ipo nafasi ya nne ikiwa namba 149,999 duniani wakati ikishika namba 240 Tanzania.



Salehjembe.blogspot.com inathamini zaidi mchango wa kila msomaji anayetenga muda wake na kutembelea blog hii, shukrani za dhati ziwafikie.

Uwepo wako ndiyo muhimu zaidi kwa blog hii, endelea kuwa nasi na tutazidi kukupasha kila linalotufikia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic