March 26, 2018


Baada ya kuahirishwa kutokana na maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga umepangiwa tarehe.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya TFF, Boniface Wambura, amesema mchezo huo utachezwa Mei 9 2018 katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.

Mchezo huo uliahirishwa ili kuipa nafasi Yanga kufanya maandalizi ya kucheza na Township Rollers FC kwenye CAF Champions League.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic