March 26, 2018


Watu mbalimbali ambao wamekuwa akibeti na kujishindia fedha katika kiwango mbalimbali kupitia Premier Bet sasa watakuwa na furaha zaidi.

Furaha yao itaongezeka kutokana na mambo yanavyokwenda vizuri baada ya sasa kuwa na application ya kisasa kabisa ambayo wanaweza kuitumia.

Application hiyo ya Premier Bet inapatikana katika mitandao ya simu za mkononi na hasa Play Store na mtu anachotakiwa ni KUIPAKUA na baada ya hapo anakuwa akibeti.

Kubeti akiwa popote atakapoamua yeye, wakati wowote ule na hii itawafanya Premier Bet kuendelea kuwa wakubwa zaidi unapozungumzia masuala ya mikeka au kubeti.

Ukubwa wao unatokana na kwamba walikuwa karibu zaidi na wananchi kuliko kampuni nyingine yoyote ya ubashiri kutokana na maduka yao kuwa sehemu mbalimbali mitaani na yamekuwa uakitumiwa na watu kwa wingi zaidi.

Lakini baada ya kuwa na app, maana yake sasa wamefunika kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic