March 26, 2018





Liverpool imeonyesha haitaki Mohamed Salah aondoke na kwenda Real Madrid.

Maana yake inamuhitaji na sasa imetenga kitita cha mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki.

Kiasi hicho ni sawa na Sh milioni 636 za Kitanzania, fedha ambazo zinaweza kujenga uwanja wa mazoezi kwa Yanga na Simba.


Salah raia wa Misri, amejiunga na akitokea AS Roma kwa kitita cha pauni milioni 34 na analipwa pauni 90,000 kwa wiki kabla ya Liverpool kuona lazima “imlinde”.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic