March 27, 2018



Kituo cha Azam TV kimetangaza kuonesha mbashara mechi ya leo kati ya Taifa Stars dhidi ya Congo itakayopigwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.



Stars inacheza mcheo huu ikiwa ni wa pili baada ya kufungwa na Algeria huko Algiers kwa mabao 4-1.

Mechi hiyo intarajia kuanza saa 10 kamili na itaruka kupitia Azam Sport 2

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic