March 27, 2018



Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Boko Veterani uliopo pembezoni kidogo mwa jiji la Dar es Salaam.

Simba imejifua leo bila ya kiungo wake, Jonas Mkude, aliyeumia jana baada wakati akiwania mpira na Mzamiru Yassin.

Kikosi hicho kitakuwa na kibarua dhidi ya Njombe Mji FC tarehe 3 Aprili 2018 katika mchezo wa Ligi Kuu Vodacom.

Tazama video ya mazoezi hayo hapa

 

2 COMMENTS:

  1. Picha inaonesha baadhi wachezaji wa timu ya simba walioko timu ya Taifa habari inasema simba ilivyojifua LEO

    ReplyDelete
  2. DAH asante kwa short clip lakn nadhani kuna ujumbe hapo.........wachezaji wanaonekana wazito sana hasa Mavugo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic