March 5, 2018



Na George Mganga

Makipa wa Simba SC, Aishi Manula, Said Nduda, Ally Salim na Mohammed Mseja wamejifua jioni ya leo kuelekea mchezo wa Jumatano dhidi ya Al Masry SC.

Makipa hao sambamba na kikosi kizima cha Simba, wamefanya mazoezi hayo leo jioni kwenye Uwanja wa Bocco Veteran, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Tazama picha zaidi hapa 





3 COMMENTS:

  1. Kila la heri timu za Simba na Yanga kwenye mechi zenu za kimataifa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu zibariki timu za Simba na Yanga

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli naamini baada ya wachezaji wa timu za Simba na Yanga wale majeruhi kupona na kurejea mazoezini, najua watatoa michango yao na kupelekea ushindi kwenye mitaa ya Kariakoo na Jangwani. Kila la heri ndugu wachezaji tunawaombea mtufute machozi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic