WENGER KUTUA PSG MSIMU UJAO, MAMBO YAKO NAMNA HII
Taarifa za ndani kutoka PSG ya Ufaransa zinasema kuwa Kocha wake, Unai Emery, anaweza akafungashiwa virago mwishoni mwa msimu huu.
Kwa mujibu wa jarida la Dail Star kutoka Uingereza limeandika, Emery anaweza akafukuzwa kuifundisha timu hiyo na nafasi yake ikachukuliwa na Arsene Wenger.
Wenger ametajwa kusajiliwa na PSG kutokana na kukosa mwenendo mzuri ndani ya kikosi chake haswa katika msimu huu timu yake ikiwa nafasi ya 6 katika.
Mpaka sasa Arsenal ipo nyuma kwa alama kwa alama 8 dhidi ya Chelsea iliyo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi, na nyuma kwa alama 33 dhidi ya manchester City inayoongoza league.
Vilevile Arsenal itaweza kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya endapo itachukua taji la Europa League endapo itashinda dhidi ya AC Milan.
0 COMMENTS:
Post a Comment