April 24, 2018



Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Amis Tambwe, jana amewasili mjini Morogoro kuungana na na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Simba.

Tambwe alisafiri jana kujiunga na kikosi hicho akitokea Dar es Salaam kuhakikisha kuwa haikosi Simba Aprili 29 2018.

Mchezaji huyo ameshindwa kuonekana Uwanjani kwa muda mrefu kutokana na majeraha ambayo yamekuwa yakimuandama kwa muda mrefu.

Aidha, wachezaji Andrew Vincent na Ibrahim Ajibu waliokuwa majeruhi nao wameungana na timu mjini Morogoro kuanza mazoezi yanayofanyika Uwanja wa Jamhuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic