May 5, 2018



Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea tena Jumamosi ya leo kwa michezo miwili kuchezwa katika viwanja tofauti hapa nchini.

Walima alizeti wa Singida United watakuwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani wakiikaribisha Njombe Mji FC kutoka mjini Njombe.

Wakati huo Tanzania Prisons itakuwa kibaruani nyumbani kwake kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kuwakaribisha Lipuli FC ya Iringa.

Mechi zote zitaanza majira ya saa 10 jioni 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic