May 5, 2018



Na George Mganga

Kikosi cha Simba kinafanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Ndanda utakaopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kesho Jumapili.

Simba inafanya mazoezi hayo kwenye Uwanja wa Boko Veterani uliopo pembezoni kidogo mwa jiji la Dar es Salaam.

Taarifa kutoka kambini zinasema kuwa hali ya wachezaji kiafya iko vizuri na hakuna aliye majeruhi hivi sasa.

Simba itakuwa inaingia kukabiliana na Ndanda ikiwa na kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Yanga wa bao 1-0 Jumapili ya wiki jana.

6 COMMENTS:

  1. Ila msicheze kama no mabingwa tayari jueni ushindi wa mabao mengi ni muhimu sana

    ReplyDelete
  2. Yaaap! Hakuna kubweteka,cheni kwa moyo wote,kila lakheri makamanda.

    ReplyDelete
  3. Simba mwendo mdundo. Kila laheri makamanda wetu

    ReplyDelete
  4. Okwi, Boko , kichuya, Gyani tunataka mabao ya kutosha. Kesho hat trick ipatikane.

    ReplyDelete
  5. Mbele kwa mbele kila raheli simba chama

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic