Klabu ya Tottenham Hotspur ya England imeonyesha sehemu yake maalum watakayokuwa wakikaa wachezaji katika maandalizi ya mwisho ya mechi.
Eneo hilo liko karibu kabisa na viwanja vyake vya mazoezi vya Enfield na timu ya taifa ya Brazil, itakuwa ya kwanza kukaa hapo ikijiandaa na Kombe la Dunia nchini Russia.
Eneo hilo, limetengenezwa kwa fumo wa nyumbani. Lakini ni eneo litakalokuwa maalum kwa kambi.
0 COMMENTS:
Post a Comment