June 30, 2018


Ukurasa wa Ofisa Habari wa Simba kupitia mtandao wa Instagram umedukuliwa na wahuni wa mjini na sasa haupo hewani kwa sasa.

Ukurasa huo waManara wenye zaidi ya wafuasi laki mbili umehakiwa na watu wasiojulikana hivyo kuufanya usiendelee kuwepo hewani tangu mapema leo asubuhi.

Saleh Jembe imemtafuta Manara ili kujua tatizo liko wapi lakini kwa bahati mbaya simu yake imekuwa haipo hewani pia.

Manara amekuwa akiutumia ukurasa huo kuandika mambo yake binafsi pamoja na kutoa taarifa mbalimbali zinazoihusu klabu ya Simba.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic