June 27, 2018



Kipa wa zamani wa Yanga, Deogratius Munish maarufu kama Dida, ananukia Simba.

Simba imefanya mazungumzo na kipa huyo ambaye sasa anakipiga katika kikosi cha Pretoria University inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kuisini.

“Kweli Dida kazungumza na Simba na wakati wowote anaweza kusaini. Mazungumzo yamekwenda vizuri kabisa,” kilieleza chanzo.

Kabla, Dida alianza kuchipukia Simba kabla ya kuzichezea Azam FC na Yanga ambayo alipata nayo mafanikio makubwa.


10 COMMENTS:

  1. Mwingine huyu aliyetangazwa na Kimyakimya fc, anaenda Simba

    ReplyDelete
  2. Mwingine huyu aliyetangazwa na Kimyakimya fc, anaenda Simba

    ReplyDelete
  3. Nyie Simba kuweni na huruma jamani,khaa!..yaani haja yenu kuiona yanga inakufa au vipi? Yaani usajili afanye Yanga halafu wachezaji muwasainishe nyie? Na hizo habari za Tishimbi kuwa tayari ameshasaini Simba ni kazi ya kiftna zaidi itakayoweza mupelekana FIFA. Kwa nguvu zenu kisimba mna uwezo kumnyakua mchezaji mnaemtaka hivi sasa si lazima wale wa Yanga punguzeni ghadhabu yalopita yamepita.

    ReplyDelete
  4. Simba iwe na huruma lwa yanga kwani yanga ilikuwa na huruma kwa simba katika during their bumper days? Binaadamu huvuna alichokipanda. Unapokwenda juu imsalimu uliemkuta chini kwasababu katika safari ya kuteremka utamkuta tena huko chini

    ReplyDelete
  5. Ati yaliyopita yamepita. Lazima ufahamu hapana alieburuzwa kwa nguvu. Wachezaji wenyewe wanatafuta penye maslaha. Akina Isihaka na wengineo si walihamia jwenu yanga wakati milango ya pesa. mlipokuwa mmeachiliwa wazi na kwakuwa sasa milango hiyo imefungwa ndio mnasema yaloopita yamepita. Mpira sasa ni pesa tenu na hakuna tena mapenzi ta timu fulani. Manji alipotaka mkamkatalia na sasa mnamtaka hana hamu tens

    ReplyDelete
  6. Mi nafikiri usajili huu kwa ajili ya kushiriki kwenye klabu Bingwa brani Afrika ni lazima kukiimarisha kikosi vizuri. Sidhani kama usajili huu unafanyika kwa ajili ya Yanga, naona piganeni kwa hali yenu ili na nyinyi mfanye usajili.

    Protas-Iringa

    ReplyDelete
  7. Nafikiri simba hawako serials na mashindandano ya club bingwa naona wamefeli mapema ,labda kama usajiri wanaofanya nikwaajiri yaligi ya hapa nyumbani,pili nimeamini pesa sio kilakitu yani wameshindwa kutafuta wachezaji .wanaleta wachezaji wenye uwezo wakawaida sana ambao hawana mbinu mpya walishafeli labda km lengo sikimataifa na kulipiza kuchukua ubingwa mara tatu sawa.

    ReplyDelete
  8. Naamini simba haitaki kumkomoa mtu ila inasajili kwa mashindano ya kimataifa.Mimi nashauri simba kabla ya kuchukua wawa inabidi wamuangalie kwanza kama atakuwa na ule uwezo wake wa kupambana.. sio aje kupigwa benchi tena na mlipili.mlipili ni mzuri ila umbo lake dogo linampa tabu kukaba washambuliaji walioenda hewani na wenye nguvu..kama wawa atakuwa fiti basi atatufaa..tusiangalie urafiki tuangalie kazi kwanza. Pia simba bado inahitaji kiungo mwingine mwenye nguvu kama Kahata wa Gor mahia..kwa maoni yangu kama wangempata tungetisha sana Africa. Niyonzima ni mzuri ila ni mlaini..akikutana na wababe atapotea.#Simba nguvu moja.

    ReplyDelete
  9. NAISHAURI SIMBA WAO NDIO WANAJUA MAHITAJI YAO KATIKA TIMU BAADA YA KUGUNDUA MAPUNGUFU YALIYOJITOKEZA KATIKA MSIMU ULIYOMALIZIKA.NAWAPONGEZA SANA JUU YA ILO

    ReplyDelete
  10. Simba endelea na usajili kadri unavyoona inafaa. Yeyote mnayemuona anafaa isipokuwa wale wachezaji waliotoka Simba kwenda Yanga kwa dharau hao hapana. Nazungumzia Yondani na Kessy. Waacheni hukohuko. Ajibu arejeshwe Simba hata kama atakaa benchi. Tshishimbi mbona mnamchelewesha? Yupo tayari kuja Simba. Wengine waacheni hukohuko hatuwahitaji Simba hii ya sasa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic