June 27, 2018


Kiungo wa Liverpool aliyekuwa katika klabu ya RB Leipzig amerejea tena Anfield na kukabidhiwa jezi yenye namba 8.

Keita amekabidhiwa jezi hiyo iliyokuwa inatumiwa na aliyekuwa nahodha wa Liverpool kwa muda mrefu, Steven Gerrard.

Baada ya kupewa jezi hiyo, Keita ameelezea furaha yake akisema alikuwa hatarajii kama Gerrard angeweza kumkabidhi namba hiyo ambayo aliitumia kwa muda mrefu.

"Ilikuwa ni siku yangu ya furaha, sikutarajia kama ningekabidhiwa jezi kama hii" alisema.

Keita amemueleza Gerrard kama mchezaji mwenye heshima yake ya kipekee na ni jambo la faraja kubwa kwake kukabidhiwa jezi hiyo kwasababu hakutarajia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic