June 26, 2018




Kiungo "mgumu" wa Ubelgiji Radja Nainggolan, ametua Inter Milan kwa dau la pauni milioni 21.

Nainggolan ambaye alistaafu kuichezea Ubelgiji, amejiunga na Inter akitokea AS Roma ya Italia pia ikiwa ni baada ya kuonyesha chache katika Ligi Kuu Italia maarufu kama Serie A lakini Ligi ya Mabingwa Ulaya pia.

Kiungo huyo amefunga mabao 28 katika mechi 155 akiwa na AS Roma.

Umri wake ni miaka 30 na Nainggolan amesema mambo yakiwa vizuri atastaafu akiwa na Inter Milan.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic