June 26, 2018



AS Roma nayo imeongeza nguvu baada ya kumsajili kiungo mshambuliaji, Javier Pastore kutoka PSG.

Roma imetoboka mfuko na kutoa pauni million 22 kwa Paris Saint-Germain ya Ufaransa kumnasa kiungo huyo.

Raia huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 29 ni kati ya viungo wanaoaminika kuwa bora ingawa wengi wamembandika jina la “asiye na bahati.”


Alijiunga na PSG akiwa kinda mwaka 2011, tayari amecheza mechi 269 za mashindano yote.

Kwa sasa ana umri wa miaka na tayari ameshinda mataji matano ya League 1, pia makombe mengine mbalimbali 14 akiwa na PSG.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic