June 3, 2018


Uongozi wa klabu ya Azam FC umemtambulisha rasmi aliyekuwa mchezaji wa Singida United, Tafadzwa Kutinyu.

Kutinyu ameingia mkataba wa miaka miwili na Azam ambapo ataingia kambini Julai 3 2018 kuanza rasmi maandalizi ya msimu ujao.

Mzimbabwe huyo alijunga na Singida United akitokea klabu ya Chicken Inn inayoshiriki ligi kuu Zimbambwe.

Kutinyu amesaini Azam, usajili unaoelezwa umegharimu kiasi cha dola 20,00 kwa Singida kumuachia.

1 COMMENTS:

  1. Azam haina malengo na haijiewi inataka nini?naona waliopewa kuongoza hii timu hana wanacho plani kwani mpaka sasa haieleweki.inataka kukuza vipaji vya vijana,inaitaji ubingwa wannchi,ubingwa wa Africa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic