June 28, 2018


Kipindi cha Spoti Hausi kipo hewani tena leo ambapo pamoja na mambo mengi yaliyochambuliwa kuhusu Kombe la Dunia pia wachambuzi wamechambua kuhusu usajili unaendelea hapa nchini. Imeonekana kuwa wachezaji wengi waliotajwa na Yanga ndiyo wamesajili na Simba, lakini pia kwanini Yanga wamelalamika kwa Simba kumsajili kipa wa zamani wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’


 wakati hakuwa mchezaji wao, usikose.  

5 COMMENTS:

  1. We mshamba haujui wanaongea ni ma agent na mchezaji wenyewe.ili apate pesa zaidi

    ReplyDelete
  2. Tafuteni wachezaji wa saizi yenu Yanga.

    Protas-Iringa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic