June 20, 2018

5 COMMENTS:

  1. Nyoso sio wa kuchezea Yanga huyu Kocha mbona anairudisha nyuma Timu!..yaani mabeki woote waliopo kamuona Nyosso, wanachama na wapenzi wa Yanga kuweni makini na huyu Kocha, asije akawa anatumiwa na maadui....yaani anawaletea nyosso?

    ReplyDelete
  2. Mo fanya kweli bana...mwakani moto uendelee

    ReplyDelete
  3. Lakini nyie waandishi acheni uzushi Mo kumuajiri kocha mbrazili hiyo habari ya uongo...kwa mujibu wa tovuti hii hapa chini inaonyesha huyo kocha ana mkataba na klabu moja huko ubelgiji ambao unaisha mwakani June. https://www.transfermarkt.co.uk/baltemar-brito/profil/trainer/1689

    ReplyDelete
  4. Lakini hiyo habari imeandikwa na gazeti ka dimba kwamba msaidizi wa mourinho kuinoa Simba....ukweli ni kuwa huyo kocha ana mkataba mpaka 2019 https://www.transfermarkt.co.uk/baltemar-brito/profil/trainer/1689

    ReplyDelete
  5. Sijawahi kuona habari ya kweli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic