Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wanaanza kambi rasmi kesho kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame.
Simba itajiandaa itaanza mazoezi rasmi kesho asubuhi baada ya wachezaji wake watakaokuwa katika michuano hiyo kuungana.
Mara baada ya mazoezi, wachezaji wake wataanza kambi rasmi ambayo ni kwa ajili ya maandalizi hayo.
Tayari Simba imepanga kuwapumzisha wachezaji wake wengi na kuwapa nafasi wale ambao hawakuwa wakicheza.
0 COMMENTS:
Post a Comment