Luis Suarez amefunga bao lake la 100 wakati Uruguay ikipambana na Saudi Arabia.
Mechi hiyo ya Kombe la Dunia inaendelea Uruguay wakiwa wanaongoza kwa bao hilo la Suarez ambalo kwake limekuwa ni la 100 kwa nchi yake.
Suarez ni mshambuliaji wa FC Barcelona ya Hispania.
Ni bao la 100 au mechi ya 100? Sio jambo jepesi kufunga mabao 100 kwenye timu ya taifa bwana!
ReplyDelete