GLOBAL TV imemtafuta Mwalimu ambaye alimfundisha staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz lugha ya Kiingereza na paka sasa amekuwa akiitumia kugha hiyo bila kusita hususani pale anapokwenda kwenye kazi zake za muziki katika Mataifa mbalimbali.
Kwa mujibu wa Mwalimu Allen anadai kwamba alikutana na Diamond kwa kupitia Penny kipindi ambacho wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi.
Endelea kufuatilia Interview hii mwanzo hadi mwisho uweze kujua chimbuko hasa la Diamond kujua lugha ya kiingereza.
0 COMMENTS:
Post a Comment