July 1, 2018


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay, Endison Cavani, jana alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi.

Cavani alifunga mabao yote mawili na kuiwezesha Uruguay kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa duniani.

Mchezaji huyo hakuweza kumaliza dakika zote 90 baada ya kuuumia na kuondolewa nje ya dimba ikiwa ni kipindi cha pili cha mchezo.

Uruguay na Ufaransa ndizo timu pekee zilitotinga kuingia hatua hiyo baada ya kushinda michezo yake ya jana.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic