Kiungo Mcolombia, Juan Cuadrado amekubali kiroho safi kumuachia jezi yake namba saba mchezaji mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo.
Cuadrado ndiye alikuwa anaitumia jezi hiyo.
Lakini baada ya kusajiliwa kwa Ronaldo akitokea Real Madrid, amelazimika kumuachia kutokana na umaarufu wa mchezaki huyo.
Wataliana na harakati za kurejesha mvuto ligi yao serie A. Huu ni mwanzo lakini mengi yanakuja na ya kushangaza subiri na tuone kama wataweza.
ReplyDelete