DILI RONALDO KUSEPA MADRID LAIVA, EURO 88M KUMPELEKA JUVE
Hatimaye Juventus wana uhakika kuwa watamsainisha mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.
Kwa mujibu wa habari zilizopo, mchezaji huyo wa umri wa miaka 33 ambaye ni nahodha wa Ureno yuko tayari kukubali mkataba wa pauni milioni 26 kwa mwaka.
Katika harakati hizo za usajili Ulaya, PSG huenda wakamuuza Adrien Rabiot anayetakiwa na Tottenham Hotspur, na Manchester City wakimataka Jorginho wa Napoli na Riyad Mahrez wa Leicester City.
Manchester United nao wanamtaka kiungo Sergej Milinkovic-Savic wa Lazio.
0 COMMENTS:
Post a Comment