KIKOSI CHA GOR MAHIA DHIDI YA YANGA LEO
Kikosi cha Gor Mahia FC dhidi ya Yanga kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika
1. Boniface Olouch
2. Philemon Otieno
3. Godfrey Walusimbi
4. Joash Onyango
5. Haroun Shakava
6. Humphrey Mieno
7. Samuel Onyango
8. Francis Kahata
9. Jacques Tuyisenge
10. Kelvin Omondi
11. George Odhiambo
Kikosi cha akiba
12. Shaban Odhoji
13. Charles Momanyi
14. Cercidy Okey
15. Boniface Omondi
17. Benard Ondiek
18. Ephrem Gulkan
19. Lawrence Juma
Uzalendo kwanza hawatoki taifa twende kwawingi
ReplyDeleteMIMI SIYO MTABIRI ILA NI MCHAMBUZI WA HALI YA SOKA NCHINI. HAYA MATOKEO NILIYATARAJIA SIKU NYINGI TU NA NIKASEMA KUNA HUJUMA KUANZIA VIONGOZI WA KAMATI YA USAJILI NA MASHINDANO YA UANGA, BENCHI LA UFUNDI NA MTANDAO MKUBWA SANA AMBAO WENYE AKILI WANAUJUA. SASA USHAURI NI KWAMBA VIONGOZI,WALIOSALIA WANAOHUSIKA NA USAJILI WAONDOKE, BENCHI LOTE LA UFUNDI LIVUNJWE......ATAFUTWE KOCHA MPYA WA MUDA. KUNA MAKOSA YA KIUFUNDI NA WACHEZAJI KUATHIRIKA KISAIKOLOJIA, ANATAKIWA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA....MORALI YA WACHEZAJI, IKIWAMO PESA, KUZIBA MAPENGO YA NAFASI YA BEKI WA KULIA, KATI NA WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10.....LAKINI HAYA MATOKEO NDIYO HALI HALISI YA UBOVU WA KIKOSI KILICHOSAJILIWA.......WAHUSIKA WANATAKIWA KUBEBA LAWAMA HIZI HAZIEPUKIKI
ReplyDelete