KIKOSI CHA MAANGAMIZI YANGA KITAKACHOCHEZA NA GOR MAHIA KOMBE LA SHIRIKISHO LEO, ROSTAND KAMA KAWA
Kikosi cha Yanga dhidi ya Gor Mahia FC kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika
1. Youthe Rostand
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrewa Vincent
5. Abdalah Shaibu
6. Papy Tshishimbi
7. Yusuph Mhilu
8. Raphael Daudi
9. Matheo Antony
10. Pius Buswita
11. Deus Kaseke
Kikosi cha akiba
12. Benno Kakolanya
13. Haji Mwinyi
14. Said Juma
15. Said Mussa
16. Emmanuel Martin
17. Juma Mahadhi
18. Ibrahim Ajibu
Kikosi chaushindi kabisa twende tukaijaze taifa
ReplyDeletetwendeni kwa wingi ushindi ni wa Tanzania
DeleteMimi naomba watu wasimtolee povu golikipa Rostand maana kama alionekani hafai na chupuchupu kuachwa, jee kwanini leo anachezeshwa? Kwanini asianze huyo golikipa Mkongoman au Kakolanya? Tunakosea kumlaumu kipa huyo wakati Kocha anamuamini bado.
ReplyDeleteEti kikosi cha maangamizi...hivi Yanga itamwangamiza nani?
ReplyDeleteSijaona kikosi cha maangamizi hapo
DeleteIn Rostand! No professional player .TFF wapo ktk position ipi ktk kuhakikisha wachezaji wanaosajiliwa ni professional in action na syo in name
ReplyDeleteacheni mpira wa magazeti maangamizi yai huku wameishafungwa
ReplyDeleteMIMI SIYO MTABIRI ILA NI MCHAMBUZI WA HALI YA SOKA NCHINI. HAYA MATOKEO NILIYATARAJIA SIKU NYINGI TU NA NIKASEMA KUNA HUJUMA KUANZIA VIONGOZI WA KAMATI YA USAJILI NA MASHINDANO YA YANGA, BENCHI LA UFUNDI NA MTANDAO MKUBWA SANA AMBAO WENYE AKILI WANAUJUA. SASA USHAURI NI KWAMBA VIONGOZI,WALIOSALIA WANAOHUSIKA NA USAJILI WAONDOKE, BENCHI LOTE LA UFUNDI LIVUNJWE......ATAFUTWE KOCHA MPYA WA MUDA. KUNA MAKOSA YA KIUFUNDI NA WACHEZAJI KUATHIRIKA KISAIKOLOJIA, ANATAKIWA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA....MORALI YA WACHEZAJI, IKIWAMO PESA, KUZIBA MAPENGO YA NAFASI YA BEKI WA KULIA, KATI NA WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10.....LAKINI HAYA MATOKEO NDIYO HALI HALISI YA UBOVU WA KIKOSI KILICHOSAJILIWA.......WAHUSIKA WANATAKIWA KUBEBA LAWAMA HIZI HAZIEPUKIKI
ReplyDelete