July 2, 2018


Malang Diedhiou raia wa Senegal, ndiye atachezesha mechi kati ya Japan dhidi ua Belgiji. Hii itakuwa ni mechi yake ya 4 Kombe la Dunia 2018.

Diedhibou atakuwa anachezesha kipute hicho ambacho kitakuwa kinatoa mshindi wa nne atayekuwa anaelekea hatua ya robo fainali baada ya Uruguay, Russia na Brazil kutinga.

Tayari ametoa kadi 7 katika Kombe la Dunia 2018 katika mechi hizo 3.

TABIA ZAKE

Ana wastani wa kadi 2 kwa kila mchezo.

Anajulikana kwa uvumilivu na wakati mwingine huachia mechi iende kibabe.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic