July 14, 2018



Afisa habari wa klabu Ya Simba Haji manara amefunguka na kuwataka mashabiki wa timu kuwa waelewa na wavumilivu Pale Timu Hiyo inapopata Matokeo mabaya kwani Jambo la kawaida katika mchezo wa Soka. 

Manara amefunguka hayo baada ya baadhi mashabiki wa timu ya Simba Kumkosoa Kocha Maosud Djuma kwa kuwatumia wachezaji waliosajiliwa katika Timu hiyo pamoja na wale ambao hawakupata nafaso ya kucheza katika msimu wa ligi uliopita. Kupitia kwenye Ukurasa wake wa Instagram Manara aliandika kwamba. 

Simba ambayo ilikubali kichapo cha bao mbili kwa moja katika mchezo wa fainali CECAFA Kagame Cup uliopigwa katika uwanja wa taifa jijini Dares salaam

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic