August 21, 2018

8 COMMENTS:

  1. Mbona kikosi kibovu sijaona watu kama kina kichuya

    ReplyDelete
    Replies
    1. KICHUYA ATAKUJA CHEZA NA DADA YAKO

      Delete
  2. Mara ya mwisho Ben Kakolanya amecheza lini

    ReplyDelete
    Replies
    1. nimejaribu kuhoji ni vigezo gani vimetumika beno kuitwa wakati kacheza mechi moja tu ushindani nini,naonekana siyo kabisa,khaa

      Delete
    2. Shiza ramadhan ndo kichuya kiongozi

      Delete
  3. Katika mechi ya mwisho iliyocheza na Taifa stars kati ya DRC na Tanzania Kichuya ndie mchezaji aliengara kiasi cha TP Mazembe kuwashika kutaka kumsaini. Wanaosimamia Taifa stsrs ubabaishaji mwingi hilo lipo wazi kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani kichuya hammwoni?? Au Shiza ramadhani mnadhani mnajua ni kocha msaidizi..mnalalamika wakati wachezaji hamuwajui.

      Delete
  4. Mwachen kocha afanye kazi yake mbona watanzania mna matatizo ivyo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic