Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars: kilochoitwa na kocha mkuu Emmanuel Amunike kwa ajili ya mchezo wa Kufuzu Afcon dhidi ya Uganda September 8 2018.
Katika mechi ya mwisho iliyocheza na Taifa stars kati ya DRC na Tanzania Kichuya ndie mchezaji aliengara kiasi cha TP Mazembe kuwashika kutaka kumsaini. Wanaosimamia Taifa stsrs ubabaishaji mwingi hilo lipo wazi kabisa.
Mbona kikosi kibovu sijaona watu kama kina kichuya
ReplyDeleteKICHUYA ATAKUJA CHEZA NA DADA YAKO
DeleteMara ya mwisho Ben Kakolanya amecheza lini
ReplyDeletenimejaribu kuhoji ni vigezo gani vimetumika beno kuitwa wakati kacheza mechi moja tu ushindani nini,naonekana siyo kabisa,khaa
DeleteShiza ramadhan ndo kichuya kiongozi
DeleteKatika mechi ya mwisho iliyocheza na Taifa stars kati ya DRC na Tanzania Kichuya ndie mchezaji aliengara kiasi cha TP Mazembe kuwashika kutaka kumsaini. Wanaosimamia Taifa stsrs ubabaishaji mwingi hilo lipo wazi kabisa.
ReplyDeleteKwani kichuya hammwoni?? Au Shiza ramadhani mnadhani mnajua ni kocha msaidizi..mnalalamika wakati wachezaji hamuwajui.
DeleteMwachen kocha afanye kazi yake mbona watanzania mna matatizo ivyo
ReplyDelete