August 5, 2018





Aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa amefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo.

Mkwasa yuko jijini New delhi, India ambako amefanyiwa upasuaji huo mkubwa na imeelezwa bado yuko katika chumba cha usimamizi maalum, yaani ICU.

“Kweli Mkwasa amefanyiwa upasuaji wa moyo nchini India. Alikwenda kule akiambatana na mkewe Betty Mkwasa,” alisema mmoja wa ndugu wa familia ya Mkwasa.

Awali, wakati akielezwa alitaka kujiuzulu Yanga, Mkwasa alisema hali yake kiafya haikuwa nzuri. Wengi waliona kama alitaka kukimbia matatizo kwa kuwa klabu hiyo ilikuwa ikiandamwa na ukata.

9 COMMENTS:

  1. pole sana mkwasa,Mungu akupe uzima urudi ulijenge taifa na familia yako.

    ReplyDelete
  2. ALLAH akupe afya njema "" @mkwasa

    ReplyDelete
  3. ALLAH akupe afya njema "" @mkwasa

    ReplyDelete
  4. Get well soon and we will see you back stronger. Hii Yanga ingetuumizia kocha wetu wa timu ya taifa.

    ReplyDelete
  5. Mwenyezi Mungu amsimamie Ndugu yetu mwanamichezo mwenzetu apone haraka.
    In Shaa Allah. Dua kwake

    ReplyDelete
  6. Pole sana Mkwasa mwenyezi Mungu akupe nafuu ya haraka.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic